Sakata la picha tupu bado linazidi kuwatafuna wanawake wenye tamaa ya pesa........
Siku zote tumekuwa tukiwaandama bongo movies.Ukweli umebainika kuwa hata watu wa kawaida nao ni wadau wakuu wa picha hizo.........
Naamini watu wa Arusha maeneo ya New Arusha Starwatakuwa wanamfahamu vizuri huyu mtu maana ni mhudumu anayetumia mwanya wa kazi yake kuwadaka wanaume......
Naamini viongozi wetu wanajionea wenyewe haya mambo.
Pamoja na risk zote za kudiriki kuuanika ukweli wa mambo lakini bado hatuoni hatua zozote za kisheria zikichukuliwa dhidi ya hawa watu.......
Nadhani huu ni wakati mwafaka wa kuzielekeza lawama zetu kwa wizara husika.....
No comments:
Post a Comment