January 21, 2015

UPATIKANAJI WA NGONO KIRAHISI UWAFANYA VIJANA WENGI KUCHELEWA KUOA HASA MIJINI....SHUKA NAYO KIJANA



Kuna sababu nyingi zimetolewa kwa vijana kushindwa Kuoa na Kuolewa, nyingi kati ya hizo ni za kiuchumi na kujifanya wanajipanga kimaisha.

Ukweli ni kwamba watu wengi hawaingii kwenye Ndoa kwa sababu wanapata kirahisi tendo lenyewe la Ndoa.

Msingi wa Ndoa sio tendo la Ndoa pekee, kunafaida nyingi katika Ndoa hilo liko wazi kabisa.
Lakini ukwel ni kwamba tendo hili la ndoa lina msukumo wa pekee na ushawishi mkubwa katika kuanzisha mahusiano ya ndoa.

Maeneo ambayo vija upenda kupunguzia mahitaji yao ya Ndoa ni kwenye Madanguro, Bar, Massage parlour, makaburini.

Ukweli kungekuwa na Tamaduni au Sheria kali zinazodhibiti matendo ya Ndoa holela ndoa zingekua nyingi.............

No comments:

Post a Comment