January 22, 2015

MWANAMITINDO MTANZANIA APATA URAIA MAREKANI




Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK, amepata uraia wa Marekani.

Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto wawili amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia wa kigeni.

“Omg ! #newUScitizen #maisha-popote-roho-ilipotulia,” ameandika Teddy ambaye pia ni mwanamitindo kwenye picha hiyo juu aliyoipost Instagram.

No comments:

Post a Comment