January 22, 2015

HUYU NDIE NYOTA WA MITINDO ANAETWAJWA KUMRITHI DIAMOND KWA WEMA SEPETU


Nimekuwekea hapa U Heard ya leo January 20, story ya leo ni kuhusu tetesi kuwa mwigizaji Wema Sepetu baada ya kuachana na Diamond Platnumz kwa sasa ana uhusiano na mwanamitindo Mtanzania anayefanya kazi zake Afrika Kusini,  Ally Daxx.
Gossip Cop alimtafuta Wema na kumuuliza kuhusu story hiyo kama kuna ukweli wowote, Wema amekataa kuwa na uhusiano na mwanamitindo huyo.

No comments:

Post a Comment