January 6, 2015

AJALI...PICHA ZA AJALI ILIYOPOTEZA MAISHA YA MKE WA TAJIRI ARUSHA HIZI HAPA!! PICHA ZINATISHA






Inatisha sana jamani usiendeshe wakati umetumia kilevi.

Mke wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amefariki hapo hapo yeye na wifi yake baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya kikatiti.

Watu waliofika eneo la tukio wanasema walikuta chupa za pombe aina ya konyagi ndani ya gari wakati wanawanasua.

Inasemekana ajali hiyo imesababishwa na wao wenyewe baada ya gari yao kuhama njia na kugongana uso kwa uso na bus la abiria.
CRDT AZ 

HII NDIO KAULI ILIYOWAUWA WASICHANA WENGI KWENYE MAHUSIANO....SOMA HAPA KAULI INAYOWAMALIZA KINA DADA

No comments:

Post a Comment