October 23, 2014

Ukweli Kuhusu ..Naseeb Abdul maarufu kama Diamond kushikiliwa na Polisi.....



MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta mwishoni wiki.

Habari zaidi zitafuata. crdt ...JF

No comments:

Post a Comment