Maelfu ya watu wamejitokeza Chang'ombe TCC kuuaga mwili wa msanii YP wa TMK wanaume Family aliyefariki dunia jana katika hospitali ya Temeke jijini Dar huku wengine wakizimia
YP alifariki baada ya kuugua na alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo na ameagwa kabla ya kwenda kuzikwa katika makaburi ya Chang'ombe hii leo
Mungu alilaze roho yake mahali pema peponi, Amen.
Picha zote na Bongo5
No comments:
Post a Comment