Dada mmoja Mitaa ya Migomeni Dar es Salaam Amezua Kioja Baada ya Kumtumia Mume wake Picha ya uchi Kupitia Whats app, Inasemekana Mume alikuwa Kazini Akashangaa Message imeingia kwenye simu yake kucheki ni mke wake kamtumia picha ya uchi , Jamaa anadai toka amuoe huyo dada miezi sita iliyopita hakuwa kumtumia picha kama hizo kitu kilichosababisha jamaa arudi nyumbani na kumshushia kipigo cha Haja Mke Wake Huku Majirani wakishuhudia Mpaka Mke alipokiri kuwa alikuwa anamtumia mtu mwingine ambaye ni mchepuko wake... Baada ya kukiri jamaa alimtupia mizigo yake nje aende kwao... Haya Jamaa Tuweni Makini ...
October 11, 2014
Home
/
Unlabelled
/
MAJANGA!!Mke Akosea na Kumtumia Mume Wake Picha ya Uchi Aliyokuwa Anamtumia Mchepuko Wake..Check Out
MAJANGA!!Mke Akosea na Kumtumia Mume Wake Picha ya Uchi Aliyokuwa Anamtumia Mchepuko Wake..Check Out
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment