October 11, 2014

KUTANA NA GARI YA AJABU INAPAA ANGANI KAMA NDEGE.JIONEE MWENYEWE MAAJABU


Kampuni moja nchini Uingereza iitwayo 
Terrafugia ametambulisha aina mpya ya 
gari inayopaa (flying car),
gari ambalo linaweza kuwa ndege binafsi 
yenye viti viwili, matairi manne na mabawa
 yanayofunga na kufunguka ili kuweza 
kuendeshwa kama gari la kawaida barabarani.

Gari hili imeelezwa kwamba linategemea 

kuingia sokoni kwa matumizi ya jamii kuanzia 
mwaka 2015.

No comments:

Post a Comment