October 22, 2014

BONGO MOVIE YAGUBIKWA NA WINGU JEUSI!STAA WA BONGO MOVIE SHERYY AFARIKI

Msanii nyota wa filamu nchini Sherry  Charles Magali enzi za uhai wake.
  
Msanii huyo, amefariki leo saa nne asubuhi baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa familia, taarifa zaidi za mazishi zitatolewa baadae.

No comments:

Post a Comment