INASIKITISHA SANA: Mdada huyu mwanafunzi wa zamani wa IFM kakutwa amefariki usiku wa kuamkia kitchen party yake.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, marehemu alikua anasumbuliwa na matatizo ya moyo (Valve za moyo wake hazikua sawa). Siku hiyo alizurura sana Kariakoo kutafuta zawadi hali iliyomfanya achoke sana, aliporudi nyumbani akajiskia vibaya na kuzidiwa usiku wakaamua kumpeleka hospitali kwa bahati mbaya akafia njiani. Kandili Yetu Team we all say, RIP Gladys!
No comments:
Post a Comment