September 26, 2014

VIDEO MAAJABU: PASTOR ALIYEWALISHA MAJANI WAUMINI WAKE, SASA AWANYWESHA PETROLI



Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol. Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotika kwa Mungu.
Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha. Sasa anadai kuwa kunywa petroli hakuna tofauti na kunywa juice ya nanasi.
Ingia hapa kuona video hiyoKUTAZAMA VIDEO BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment