September 9, 2014

UMEONA PICHA RASMI ZA AJALI YA AIR BUS ILYOACHA NJIA NA KUINGIA CHIN YA DARAJA AMBAYO WATU ZAIDI YA 5 WALIPOTEZA MAISHA PALEPALE

Aliyekuwemo kwenye hili basi ndio amenitumia hizi picha na kuniambia watu wasiozidi watano wamefariki dunia wengine zaidi kujeruhiwa baada ya basi lao kuanguka Mkange Berega.
Basi linaitwa Air Bus na limepata ajali likielekea Dodoma kutokea Morogoro na ni baada ya kifaa cha usukani kushindwa kufanya kazi ambapo muda mfupi baadae anasema alisikia tu dereva akipiga kelele na kisha kikafata kishindo, basi likaacha njia na kwenda bondeni. 

pamoja na taarifa nyingine ambapo ajali hii imetokea siku tatu baada ya Waziri wa uchukuzi Dr. Harryson Mwakyembe kufungia kampuni mbili za mabasi ya J4 Express na Mwanza Coach yaliyogongana na kuua 39 Musoma.
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.59 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.08 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.16 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.39 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.32 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.24 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.17 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.09 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.27.02 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.52 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.41 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.26.33 PM
Huyu mama ana watoto Mapacha, hapa alikua analia baada ya kushindwa kumuona mtoto wake mwingine.
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.27 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.16 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 2.28.08 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 3.29.59 PM
Screen Shot 2014-09-08 at 3.30.06 PM

Screen Shot 2014-09-08 at 3.30.22 PM




No comments:

Post a Comment