Msanii wa Bongo Movies, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ aliyewahi kuripotiwa kujiachia kimahaba na mwanamuziki Emmanuel Eribariki ‘Nay wa Mitego’ ametia aibu kubwa baada ya picha zake za utupu kuzagaa mitandaoni.
MUNGU TUNUSURU KWA HILI PIA!!! NGOMA ZA KIGODORO ZARUDI TENAH MTAANI NI LAANA TAZAMA HAPA
Kutokana na picha hizo ambazo zimeonekana kuzagaa katika mitandao mbalimbali na kuacha viulizo kwa wasanii wengi wanaomfahamu, mwandishi wetu alimtafuta Bozi ambaye alionekana kutafunatafuna maneno na kumtupia lawama nzito Nay wa Mitego ambaye aliwahi kumtumia picha hizo walipokuwa wapenzi.
“Mungu wangu sijui nitaweka wapi sura yangu, nilishtuka sana baada ya kuona picha hizo ni aibu kubwa kwangu, nashindwa hata kuelewa zimesambaa vipi maana hizi picha alikuwa nazo Nay, nilimtumia kabla hatujaachana sasa hata yeye namuuliza anasema eti hajazisambaza,” alisema msanii huyo.
KWA MAPICHA ZAIDI HAPA ZIPO WAKUBWA TU
September 9, 2014
Home
/
Unlabelled
/
SHOCK!!!BOZI AMLAANI VIKALI NEY WA MITEGO KWA KUVUJISHA PICHA ZAKE ZA CHUMBANI TAZAMA PICHA HIZO HAPPA
SHOCK!!!BOZI AMLAANI VIKALI NEY WA MITEGO KWA KUVUJISHA PICHA ZAKE ZA CHUMBANI TAZAMA PICHA HIZO HAPPA
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment