Baada ya filamu zake nyingi kufanya vizuri
sokoni na kusapoti jamii isiyojiweza mara kwa mara, mashabiki wa Salma Jabu Nisha wanataka muigizaji huyo awe balozi wa mambo ya kijamii kupitia kazi zake za sanaa
Hiyo inatokana pia na kuwa Nisha ni mmoja wa waigizaji wanaojituma katika kazi zao huku akijiweka mbali na skendo ziizo na maana. Nisha amekuwa akitoa hamasa kwa wanawake na pia kusaidia yatima hususani kila mwezi.
No comments:
Post a Comment