
Jasmine
Tridevil katika pozi.* *
MWANAMKE aliyejitambulisha kwa jina la Jasmine Tridevil
(siyo jina lake halisi) mwenye umri wa miaka 21 amedai kufanyiwa upasuaji na
kuongezwa titi la tatu kupitia mahojiano aliyoyafanya redioni.* *Jasmine ambaye
ni raia wa Tampa jijini Florida nchini Marekani anayejishughulisha na utoaji
huduma ya massage, alilipa kiasi cha dola za Kimarekani 20,000 sawa na milioni
33.4 za Tanzania kufanyiwa upasuaji huo.* *Mwanamama huyo katika mahojiano na
Real Radio 104.1 alidai kuwa ameamua kufanya hivyo ili asiwe na mvuto kwa
wanaumena pia apate ustaa katika tv

lakin pia mrembo huyu wazazi wake wamkataa lakin yeye amesema lazima azama yake ya kuwa staa itimie...tayari maeshasambaza picha zake akiwa na matiti matatu ambapo yeye amesema ni furaha kwake
No comments:
Post a Comment