Licha ya vigodoro kupigwa marufuku na serikali lakini Ngoma hizo zinaendelea kupigwa Sehemu Mbali Mbali Kama Kigogo Luhanga kwa bint kahenga na Maeneo ya Bunju jirani na Mapinga.
Mambo ni mdundo ni yale yale ya Kusasambua Papalazi wetu ameshuhudia Live Ngoma hizo Sehemu hizo zilizotajwa hapo juu.
No comments:
Post a Comment