
Katika maisha kunasafari ndefu sana hususani ya kimapenzi leo ngoja nikupe ilivyo then tafakari utapata majibu nini kipo kati ya mapenzi hapa naanza na watu mastaa
Tanzanite anampenda lulu hata kumtungia wimbo lakin lulu hamataki kabisa Tanzanite anamtaka staa wa marekani Justin Beiber ,justin beiber nae hamataki kabisa Lulu anamtaka Selina Gomezi hadi amemuomba amapangishie jumba la kifahari lakini selena hataki cz ana mtu wake hivyo hawez penda wawili hivyo hapa bado safari inaendeleah yaani kila anaemtaka mwenzake mwenzake hamataki kumbuka Tanzanite kuna msichana wa kawaida tu aliwah kiri kuwa Tanzanite ni mpenzi wake jamaa akagoma uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu mke mwema anatoka kwa bwana ila mme mwema
anatoka kwenye ...........................................


No comments:
Post a Comment