(Pichani Juu) Lori aina ya Scania likiwa limeharibika baada kupata ajali kwa kuligonga lori lingine kwa nyuma lililosimama ghafla kwenye tuta katika Kijiji cha Isuna, Barabara ya Singida-Dodoma . Inadaiwa dereva wa lori hilo alikufa!tunaendelea kukuletea habari zaidi kuhusu ajali hii
September 12, 2014
Home
/
Unlabelled
/
AJALI MUDA HUU!!!BARABARA YA SINGIDA DODOMA AJALI MBAYA YATOKEA LORI LAHARIBIKA VIBAYA
AJALI MUDA HUU!!!BARABARA YA SINGIDA DODOMA AJALI MBAYA YATOKEA LORI LAHARIBIKA VIBAYA
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment