August 25, 2014

UKATILI! MAMA MWENYE NYUMBA AMCHOMA BINTI WA KAZI SEHEMU ZA SIRI KWA KUTUMIA ELECTRIC COOKER!! ONYO PICHA ZINATISHA

Mama mmoja wa kutoka Nigeria amemchoma mfanyakazi wake wa ndani kwa kifaa kiitwacho electric cooker kisa kikiwa ni msichana huyo kukojoa ndani. Picha nyingine za alivyojeruhiwa hizi hapa chini....

No comments:

Post a Comment