Amekuwa kwenye vichwa vya habari kwa muda sasa baada ya video ya wimbo wake wa Anaconda kuweka rekodi mpya ya kutazamwa na watu milioni 19.6 kwa saa 24 tu. Hivi karibuni kwenye show yake Nicki Minaj amevaa kiatu cha mbunifu Giuseppezanotti ambacho bado kipo kiwandani kwenye matengenezao.Minaj anaweza kuwa mtu wa kwanza kujaribu matumizi ya kiatu hichi.
August 25, 2014
Home
/
Unlabelled
/
HIKI HAPA NDICHO KIATU ALICHOPEWA NICKI MINAJI NA KUKIVAA WA KWANZA BADO HAKIJAINGIA SOKONI KABISA..
HIKI HAPA NDICHO KIATU ALICHOPEWA NICKI MINAJI NA KUKIVAA WA KWANZA BADO HAKIJAINGIA SOKONI KABISA..
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment