August 8, 2014

SHILOLE KIUNO NA NUH WARUDIANA WATUPIA PICHA HIZI NA UJUMBE MZITO MTANDAONI...!



Mapenzi ya Nuh Mziwanda na Shilole yaliripotiwa kuvunjika hivi karibuni, yamerudi kwa nguvu zaidi siku ya jana wamesambaza picha kupitia account zao Instagram wakiwa pamoja kama ishara ya mapenzi yao kuongezeka zaidi.
Nuh na Shilole wote waliweka picha instagram kuonyesha wamepatana na mapenzi yatadumu zaidi ya miezi kadha iliyotabiriwa...




No comments:

Post a Comment