August 11, 2014

Licha ya kuwa yeye ndie alikuwa kinara wa kukosoa Mwanadada Sintah sasa nae aamua kuachia hizi Mtandaoni

Tumekuwa tukimzoea Sintah kutusaidia kufunguka au kuwapa makavu wale wadada wote wanaokuwa wanaacha maungo yao nje na kuweka picha katika mitandao ya kijamii..,
 Unapomnyooshea kidole kimoja mwenzako unasahau kama vidole vinne vinakuangalia ww, basi sinta alilisahau ilo. tazama picha 3 hapo chini kisha ufunguke Sintah anafaa kukosoa wenzake au na yeye ni wale wale watafuta kiki??


                                             
                                                            CHANZO KILELE CHA HABARI

No comments:

Post a Comment