August 11, 2014

Angalia hapa matukio machafu yanayofanyika kwenye fukwe hapa nchini ni aibu hii balaa sasa imezidi jamani

Fukwe zipo kwaajili ya watu kupumzika na kupunga upepo na kufurahia maisha tofauti na ya kila siku lakini kwa sasa hapa nchini fukwe zinatumika tofauti sana kwani matukio machafu yanakuwa yakifanyika katika fukwe hizi


WAKATI maelfu ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakijitokeza kwa wingi katika ufukwe maarufu wa Coco kwa ajili ya kujiliwaza, imegundulika kuwa vibanda vinavyojengwa kwa ajili ya kuhifadhi nguo za wanaoingia majini kuogelea, hutumika pia kwa kufanyia ngono kwa malipo.


No comments:

Post a Comment