August 30, 2014

LAANA HII !!!X-GIRL FRIEND WA DAVIDO AINGIA CLUB AKIWA MTUPU KABISA

Nish Kards ni  mwanadada kutoka GHANA ambae alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na msanii Davido kutoka Nigeria...maarufu sana kwenye mtandao wa 
INSTAGRAM kama Kim Kardashian wa Ghana...amekuwa akiweka picha TATAkwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM ...lakini  hii akiwa CLUB alioitupia jana usiku ndio imezua gumzo sana....Neno moja kwake

No comments:

Post a Comment