Mkali
wa muziki wa Bongo fleva hapa nchini, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz,
amekanusha tetesi zakwenda kumpima mtoto wake Latiffah 'Tiffah'
vinasaba 'DNA' ili kupata uthibitisho wa kuwa ni mwanawe au sio mwanae.
Diamond
amezungumza hayo baada ya kufanyiwa mahojiano na eNewz kuhusiana na
tetesi hizo ambapo alikanusha suala hilo, Diamond Anasema kumpima mtoto
wako DNA ni kutojiamini na yeye hawezi kufanya hivyo, Diamond anasema
alianza kumjua Tiffah akiwa tumboni.
Pia Diamond ameweka wazi kuwa picha inayomuonyesha akilia ni ya show yake ya Dar Live.
March 18, 2016
Home
/
Unlabelled
/
Mwanamuziki Diamond Platnumz Akanusha Kumpima Tiffah DNA....Adai Kupima DNA ni Kutojiamini
Mwanamuziki Diamond Platnumz Akanusha Kumpima Tiffah DNA....Adai Kupima DNA ni Kutojiamini
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment