July 18, 2015

Je,hapa Tanzania kuna Yeyote Anayeweza Kukaa Hewani Kama Huyu Mnigeria?(angalia picha)

 Wapita njia walimwona huko Nigeria na kubaki mdomo wazi kwa kuduwaa. Inasemekana ni mazingaombwe hata hivyo ni jambo la kushangaza sana.

No comments:

Post a Comment