Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram, JB aliandika; Nashangaa sana watu wanao toa matusi na maneno ya kejeli kwa wasanii waliotia nia.nasema mnatukosea.sio haki...kama unaona humkubali ni vyema ukanyamaza waachie wapiga kura wa jimbo husika..@stevenyerere2. @wastara84. @wemasepetu. @ireneuwoya8. msikate tamaa. mungu awabariki...
Nadhani JB ameleweka na ujumbe umefika
No comments:
Post a Comment