July 20, 2015

BREAKING NEWS ....ESTHER BULAYA AITOSA CCM AHAMIA CHAMA KIPYA


Hali imeendelea kuwa tete ndani ya Chama Cha CCM, baada ya aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Mara, Esther Bulaya mbunge machachari , kuitosa CCM kwa kutangaza uamuzi wake wa kutogombea ubunge kwa tiketi ya chama hicho.
Una neno gani la kumwambia Esther ?Tupe maoni yako kataka ukurasa wetu wa facebook Info is Hot

No comments:

Post a Comment