December 4, 2014

VIDEO!! ALIKIBA KUITIKISA BONGO TENAH CHEKI VIDEO YAKE ITAVYOKUWA


Inavyoonekana staa huyo amekwenda kushoot video ya wimbo wake ‘Mwana’ uliotoka miezi kadhaa iliyopita.

Kiba ameshare picha kadhaa kwenye Instagram akiwa location huku moja anaonekana akiwa na dancers wa kike. 

No comments:

Post a Comment