December 8, 2014

PICHA ZA IRENE UWOYA KATIKA JARIDA JIPYA LA VIBE ZA UTUPU NI LAANA ..ZICHEKI HAPA


Jarida  la  maswala ya burudani, liitwalo Vibe Tz  lililotoka hivi karibuni,limepambwa kwa picha za muigizaji  wa filamu hapa Bongo, Irene Uwoya amaye ni mrembo aliyebarikiwa sura na umbo matata bila kusahau rangi yake,kitu ambacho huwafanya vidume wengi kupagawa na kuwa na mashabiki wengi wa kazi zake mbali nakipaji chake katika sanaa.
 
Japokuwa kwasasa ni mama wa mtoto mmoja , Uwoya amefanya kile kinaitwa siku hizi –KU-BREAK THE INTERNET, kwenye picha alizopigwa na jarida hilo.
 
Irene ametokelezea kwenye kurasa za mbele  yani “Cover Pages” akiwa amevalia mavazi ya ufukweni ya rangi nyeusi na nyeupe, moja akiwa anatazama mbele na nyingine akitupa mgongo.
 
Vivazi hivyo vimefanya sehemu kubwa ya mwili wake kuonekana na watu kuweza kujionea uumbaji wa alieviumba.
 
 Pia picha zingine zimeonekana kwenye kurasa za kati za jarida hilo akiwa katikati mapozi tofauti tofauti.
 
Kama haujafanikiwa kuziona zicheki hapo chini . Kisha sema chochote kuhusu picha hizo.
 
 

No comments:

Post a Comment