December 8, 2014

LULU AONYESHA TATOO YAKE YA KIUNO NAMAANA YAKE CHEKI HAPA


Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa  wake watoe comments na like za kutosha kutokana na kile ambacho wengi walidai kuwa picha hiyo ni NOUMA. 
Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la  LULU ni mmoja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori  na jumbe mbalimbali .

 
Comment za   vidume wengi walionyesha  kupagawa na urembo wa mwanadada huyu na kuishiakumsifia hadi kupitiliza ili mradi kila mmoja akitoa lake la moyoni. Vile vile wadada pia hawa kuwa nyuma kutoa comments zao za kumsifia jinsi alivyo SHINE na kuwa TAG ma best zao kama kawaida. Bila kuwa sahau wapondaji wachache….

Kama unavyoina hapo juu, nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi cha kitenge chenye maua maua   ambacho  kimemuacha wazi sehemu yote na miguu na pagaja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt  cha rangi nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wazi sehemu za juu kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya kiuno upande wa ubavuni....

Mara nyingi tatoo ile ya juu mgongoni na ile ya juu kifuni ndio huwa zinaonekana mari nyingi kwenye picha zake.

No comments:

Post a Comment