June 21, 2016

Nuh Mziwanda ameamua kuchora Tattoo mpya kwenye mkono wake wa kushoto

Wakati akiendelea kufanya vizuri na ngoma yake 'Jike Shupa', Nuh Mziwanda ameamua kuchora Tattoo mpya kwenye mkono wake wa kushoto yenye jina la mpenzi wake wa sasa aitwae ‘Nawal’.
Nini maoni yako?

No comments:

Post a Comment