Mzee wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Nkuu Kisereny mwenye umri wa miaka 65 amempa ujauzito binti mwenye umri wa miaka 16 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Nkuu iliyopo maeneo ya Machame wilaya ya Hai.
Hali hiyo imezua taharuki baada ya wananchi wenye hasira kali, hususani wazee kujitoa kumtafuta mtuhumiwa, huku wakidai kuwa wamechoshwa na vitendo vyake vya kuwarubuni mabinti
No comments:
Post a Comment