Itakumbukwa kabla ya kuachiwa kwa video ya Shilole Nyang’anyang’a ilielezwa kuwa alikua #South kushoot video hiyo jambo liliongeza hamu ya mashabiki kuingojea.
Sasa Kuna taarifa kutoka kwa Watu waliopo ndani ya industry ya muziki
zikieleza kuwa video yote ya Shilole ilifanyika hapa bongo maeneo ya #kigamboni na siyo kama alivyosema Shilole kuwa aliishoot SA.
Shilole amepatikana kujibu hilo na ameseweka wazi kuwa video ile
ilifanyika hapa bongo isipokuwa vipande(scene)zile tu anazoonekana akiwa
kitandani.(kama kwenye picha hapo juu Hii inamaanisha Shilole alikwenda
SOUTH kushoot scene za kitandani tu za video hiyo ila nyingine zote
zmefanyika hapa bongo.
February 25, 2016
SHILOLE ALIENDA SOUTH KUSHOOT SCENE YA KITANDANI TU
Tags
About Unknown
Templatesyard is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Related Posts:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment