Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo
limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja
najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata
mavazi lakini wapi!
Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande
wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi
kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili
swala linanikondesha jamani.
Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.
No comments:
Post a Comment