Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali
mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na
Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine
kujeruhiwa.
Tunafuatilia na tutawalete taarifa kamili.
Mpekuzi blog
No comments:
Post a Comment