October 2, 2015

Wastara na Bond Mambo Safi....Bond Atoa Maneno Mazito na Kumshukuru Mungu Kumpa Mwanamke kama Wastara

Ikiwa Bado Kuna Sinto fahamu Kwa Mashabiki wa Filamu Kama Bond na Wastara ni Wapenzi kweli ama la , Mwigizaji na Mtangazaji Bond Ameandika Maneno Haya na Kupost Picha hiyo Hapo juu Kwenye Ukurasa Wake wa Facebook:

"Siku ya Tarehe 27 mwezi wa 9 mwaka 1994 ni siku Mama yangu alinifariki na kuniacha mpweke na nikajiona kuwa sitakuwa na furaha.
Lakini tarehe hiyo hiyo 27/09 kasoro mwaka alizaliwa binti mmoja mzuri wa ajabu mwenye sifa nyingi nzuri ambazo kila mtanzania anazijua kuanzia kazi, upendo, huruma, uvumilivu na ujasiri kwakweli mungu hajawahi kukosea wala hatokosea kufanya maamuzi
Kwani humpa amtakae na humnyima amtakae na yote ikiwa ni kwa kheri zake
Asante mungu kwa kunijaalia kunipa na kumjua huyu mwanamke mzuri"

No comments:

Post a Comment