October 19, 2015

Picha za Mkutano wa Kihistoria Wa LOWASSA jana Jijini Mbeya......Ilikuwa ni Zaidi Ya Mafuriko


Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya Oktoba 18, 2015
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa akiongea na wananchi wa Mbeya mjini katika viwanja vya Rwanda-nzovwe jijini Mbeya jana Jumapili 18/10/2015,akiomba kura pamoja na kunadi sera zinazotekelezeka

No comments:

Post a Comment