October 17, 2015

Picha Za Mabaki Ya Chopa Iliyopoteza Uhai wa Mbunge Deo Filikunjombe

Mwili wa Deo Filikunjombe ukitolewa Eneo la tukio baada ya kuteketea kwa Moto kufuatia ajali ya helkopta.

Waliofariki mbali ya Filikunjombe wengine ni Mwenyekiti wa TLP Mkoa wa Iringa Blanka Francis Haule ,Egdi Francis Nkwela na rubani wa helkopta hiyo Wiliam  Slaa.

Miili yote imepelekwa jijini Dar esalaa kutoka katikati ya mbuga ya Selou kitalu R3 .

Mwili wa Filikunjombe utaagwa leo jumamosi jijini  Dar na kusafirishwa kwenda Ludewa kwa mazishi yatakayofanyika jumapili .

No comments:

Post a Comment