Staa wa R&B na Pop, Rihanna amepozi kwenye Cover la Jarida la ‘Vanity Fair’ ambapo amezungumzia mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuhusu kurudiana na Chris Brown japo alimpiga na kumjeruhi.

Rihanna amesema ”Nilikuwa Rihanna yule wa mwaka 2009, kuna watu wameumbwa kuwa na nguvu kuliko wengine kwenye mahusiano, pengine niliumbwa kumudu mambo kama haya siku moja, labda mimi ni malaika kwa mtu fulani, niwepo pale wanapokuwa hawajiwezi, wanaposhindwa kuielewa dunia, wanapohitaji mtu wa kuwapa maelekezi na kuwatia nguvu kwa kuwaambia mambo sahihi ” .
Pia amezungumziwa Media zinavyomsema vibaya kuliko ukweli halisi wa yeye alivyo, Amesema “I honestly think how much fun it would be to live my reputation. People have this image of how wild and crazy I am, and I’m not everything they think of me. The reality is that the fame, the rumors—this picture means this, another picture means that—it really freaks me out. It made me back away from even wanting to attempt to date. It’s become second nature for me to just close that door and just be O.K. with that. I’m always concerned about whether people have good or bad intentions”
Kuhusu mahusiano yake na Chris Brown na kuhusu kumbadilisha, Rihanna amesema alikuwa nadhani angeweza kumbadilisha na kwa asilimia 100 alikua kimtetea sana “Nilihisi kwamba watu walikuwa hamwelewi. Lakini unajua, unagundua baada ya muda kuwa katika mazingira hayo wewe ndiye adui. Unataka mambo mema kwao, lakini unapowakumbusha kuhusu waliyokosea, ama kama ukiwakumbusha vipindi vibaya katika maisha yao, ama tu ukisema nipo tayari kuvumilia jambo fulani, hawakufirii – kwasababu wanajua haustahili kile wanachoenda kukupa.” Hata hivyo Rihanna amedai kuwa hamchukii japo sio marafiki alikini sio maadui.


No comments:
Post a Comment