October 15, 2015

Magufuli Amaliza Kampeni Zake Mkoa wa Lindi....Aanza Kampeni Mkoa wa Pwani Kwa KISHINDO


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani
Dkt. Magufuli akiwa ameshika kadi za Wananchama wa upinzani walioamua kuhamia CCM katika mkutano wa kampeni
Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Mgombea ubunge Jimbo la Nchinga, Said Mtanda katika mkutano wa kampeni Kata ya Nangaru.
 Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Kilwa Kusini, wakati wa mkutano wa kampeni za CCM  mjini Kilwa Masoko.
Wananchi wa Kibiti wakimsikiliza Mgombea Urais wa CCM,Dkt Magufuli

No comments:

Post a Comment