October 7, 2015

Kilichonaswa kwenye talaka ya Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha

October 6 2015 waimbaji wa gospel ambao ni wanandoa, Flora Mbasha na mumeweEmmanuel Mbasha walifika Mahakamani kwenye kesi ya madai ya talaka

iliyofunguliwa na Flora zaidi ya mwaka mmoja uliopita na maamuzi haya ndio yakatangazwa yote yapo kwenye hii video hapa chini. 



No comments:

Post a Comment