Ndugu zangu nawashukuru sana kwa upendo wenu kwangu wazati mlijitoa sana kwangu nawapenda sana mungu ndio mwenye mipango yote sio binadamu haikuwa nafasi yangu kwa sasa najua mmeumia lakini nawaomba sana tusimkufuru mungu kwa lolote mambo mema na upendo wangu kwenu mungu ndio anajua nimekuwa na nyie kwa miezi 3 nimefarijika sana na wapenda sana mlinipenda mpka nilijiuliza nini cha kuwarudishia kwa upendo wenu mlinifanya niwe kama lulu kwenu nawashukuru Sana nimejifunza mengi na nimeona mengi nilikuja kwa nia ya kushiriki pamoja kuleta maendeleo moshi na kusaidiana mawazo na jinsi ya kujikwamua kimaisha kwa pamoja.
Nawapenda sana
No comments:
Post a Comment