Katika hali ya kushangaza mwanaume mmoja wa chuo kimoja Kenya amekamatwa baadaa
ya kusambaza picha mpenzi wake wa zamani mtandaoni kwa kinachodaiwa kuwa ni wivu wa
kimapenzi ambpo inasasdikiwa kuwa msichina huyo alimkataa kidume huyo na kuanza
mahusiano na mwanaume mwingine ambapo baada ya muda alipata taarifa....
kuwa picha zake zipo mtandaoni na kwenda kuripoti polisi ambapoo
kijana huyo yuko chin ya ulinzi mara ya kwanza taarifa
ya picha hizi ilidakwa na blog ya kenya Daily post kutazama video bofya hapa
No comments:
Post a Comment