September 11, 2015

Wasanii wazidi kuweka wazi wanakubali vyama gani, sasa ni zamu ya Masanja Mkandamizaji

Msanii wa nyimbo za injili na vichekesho hapa nchini, Emamnuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, ameshindwa kuvumilia na kuweka wazi yeye ni shabiki wa chama gani

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Masanja ameandika kuwa anashabikia chama gani ikiwa ni siku kadhaa zimepita na wasanii mbalimbali hapa nchini wakajionesha waziwazi wao ni wapenzi wa vyama gani vya siasa

hapa chini ni "alichopos"t masanja kwenye "page" yake
- See more at: http://edwinmoshi.blogspot.com/2015/09/wasanii-wazidi-kuweka-wazi-wanakubali.html#sthash.PWdxlg2D.dpuf

No comments:

Post a Comment