September 16, 2015

Ukweli huu hapa kuhusu Mtangazaji wa Clouds FM DJ Fetty kutangaza Kuacha Kazi Clouds

September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo, presenter mwingine pia Kened the Remedy ameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment