September 17, 2015

CHEKI WANANCHI WALICHOSEMA...KUHUSU MDAHALO WA LIVE KATI YA WAGOMBEA WA URAISI!!



Mbatia tunataka mdahalo kama hii maana wanaenda kutuongoza ni wagombea hao nasiyo wenyeviti wa vyama tunamtaka lowasa apambane na Dkt magufuli uso kwa uso kila mtu afunguke najua mnajua kuwa mtu wenu hawezi lakini mdahalo ni lazima..kutoka kwenye 

No comments:

Post a Comment