Nimepokea kwa mshituko na masikitiko makubwa kifo cha ndugu yetu Bwana Mohammed Mtoi.
Hili ni pigo kubwa kwa wanalushoto, chama pamoja na taifa kiujumla. Bwana Mtoi alikuwa msitari wa mbele katika mapambano ya kukijenga chama chetu. Natoa pole za dhati kwa familia, wanachadema na wote walioguswa na pigo hili kubwa. Mungu Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.
Lowasa Facebook
No comments:
Post a Comment