Msanii mahiri wa bandi ya yamoto anaekwenda kwa jina la
aslay.hii leo amepata msiba mzito baada ya kuondokewa na mama yake mzazi leo asubihi taarifa zaidi kuhusu msiba huu utaendlea kuzipata hapahapa...Info is hot endelea kukaa nasi
Pole sanaa aslay na munghu akutie nguvu katika kipindiki hiki kigumu..R.i.p Mama mzazi wa aslay
No comments:
Post a Comment